Nina maumbile madogo ya uume

Nina maumbile madogo ya uume

Mkuu watu Wana tofautiana, wengine ni ndogo mno- ikiwa ime lala.
👉Ila kubwa ikiwa Ime simama.
👉Wengine kubwa ikiwa ime lala, ila hata iki simama Ina ongezeka kidogo tu
Kubwa ikiwa imesimama hii ni athari ya nyeto mkuu.....athari ya kulegea misuli na mashine kuwa size ya mtoto mdogo....
 
Cha kwanza kabisa inabid ujue kuzizuia hisia, yaan wakat una pump inabid uyaondoe mawazo Hapo na ufikirie mitikas mingine ya kitaa au mawazo unayatupa kwa babu huko kijijin kwenu

Pili inatakiwa uwe na nia kwel kweli ya kupeleka moto,sio kama unavyosemaga eti ukishamaliza wewe tu eti inatosha

Kupeleka moto muda mrefu kuna mbinu mbali mbali,unaweza piga ukapiz cha kwanza na ukaunganisha humo humo(ingawaje hii kwa sisi ambao umri umeenda inaweza kuwa ngumu ila zamani mimi nilkuwa naweza)
Pia unaweza kufanya hv,unapopeleka moto na ukahis kama wazungu wanataka kutoka inatakiwa uichomoe kwanza ipige na upepo hata kwa nusu dakika afu baadae unairudisha unaendelea kupeleka moto,ukihis tena itoe au badili style
Huyu ni mimi nikiwa nampelekea moto mariaaaaa....muuu
 
Tatizo humu mkishasaidiwa unarudi unakuwa upande wakumdhihaki sliyekusaidia namtaalam anaweza kupa dawa ukanywa ikakua kiasi utakachoo yupo tanga na hata nguvu za kiume kama huna
 
Ni ishu serious wazee wa mitishamba msaada wenu
Tafuta Mdodoki na Jino la Simba, Mdodoki unafanana na Mtango unaotoa matango Ila Mdodoki hauliwi tunaita tangopori, sasa Mdodoki upate ukiwa mdogo kabisa haujakua, tafuta Jiwe kwa kutumia Jiwe saga Jino la Simba (ukiongea na Wamasai au maduka ya bidhaa za asili unapata) saga Jino la Simba, chukua dodoki dogo likiwa mtini chanja kwa wembe litoke utomvu chanja dushelelewaah yako utoke damu chukua utomvu wa dodoki changanya na unga unga wa Jino la Simba kisha paka kwenye dushelelewaah yako silibia kabisa hakikisha Dawa imekolea na kuingia, vumbi vumbi la Jino lililobakia weka kwenye Maziwa ya ngamia au Tembo au Punda kisha kunywa, baada ya hapo subiria dodoki likue unakadiria ukubwa unaoutaka ukiona imetosha unalikata na ukubwa wako ndio unaishia hapo

Angalizo: ukijisahau dodoki hua linakua kubwasana Mandingo akasome kwa hio kua makini

#kaributule
 
na hata nguvu za kiume kama huna
Hakuna Mwanaume asie na nguvu za kiume sema asiejua kuzitumia nguvu za kiume sio kwamba Hana anazo Ila hajui jinsi ya kuzitumia, waganga wasenge wasenge wanapotosha maana komaninazao

Anajua huyu nguvu anazo Ila hajui kuzitumia Masikini kwa hio anampa Dawa ya kumpumbaza ajione km amerejeshewa nguvu kumbe Masikini nguvu alikua nazo Ila hakua anajua jinsi ya kuzitumia shida ndio inaanzia hapo
 
Kama ni kwanzia Inch 5.5 kwenda juu acha wenge hauna tatizo lolote.
 
Tatizo humu mkishasaidiwa unarudi unakuwa upande wakumdhihaki sliyekusaidia namtaalam anaweza kupa dawa ukanywa ikakua kiasi utakachoo yupo tanga na hata nguvu za kiume kama huna
Mbona unawajua sana waganga hadi unanitisha?
 
Kuna msemo wa kizungu usemeo [B]Comparison is the thief of joy[/B]. Sijui maumbile yako unayaringanisha na nani lakini watu wengi sana wana maumbile ya kawaida tu. Kwenye watu bilioni 8 duniani naamini kila mtu ana size yake na kama mpenzi wako akikuacha kisa kipimo cha uume wako shukuru Mungu kakuepusha na kitu kizito maana uenda kwenye wanaume 100 aliokutana nao wewe ndio mwenye maumbile madogo, Sasa mpenzi malaya hivi ni wa kazi gani.

Daima kumbuka wanawake wanapenda mwanaume anaejiamini, Kama wewe una mashaka na uume wako na yeye lazima awe na mashaka nao pia. Kuna kamsemo kanasema [B]We become what we think about[/B]. Jiulize wewe unafikiria nini kuhusu wewe? Kama unajiona huwezi mlizisha ni kweli hutaweza mrizisha. Na ukiamini unaweza basi utaweza.

Mwanaume una vita nyingi sana za kupambana nazo kaka, kama ada za watoto, kulisha familia kwa nini unaanza kupambana na vita ambayo huwezi shinda (Vita ya kujiona una maumbile madogo).

Kingine nakushauri acha kuangalia filamu za ngono maana naamini pia hili linaweza kuwa tatizo sana kwako, hapa ndio insecurities zote huwa tunazipatia.
 
Back
Top Bottom