Nina maumivu makali ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto. Ni ugonjwa gani huu?

Shakran

New Member
Joined
Nov 6, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Ndugu zangu,

Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.

Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.

Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.

Naomba msaada wataalam
 
Pole sana.
Maumivu makali kwenye ubavu na nyonga ya kushoto: una maanisha maumivu yako tumboni upande wa kushoto au vipi?
Ni muhimu kujua zaidi kuhusu hayo maumivu mbali na kuwa makali alfajiri vipi ukikojoa yanapungua au kuongezeka makali? Ukinywa maji vipi yanakuwaje?
 
Pole sana,, itapendeza,, zaidi kama utaenda hospitali kufanyiwa vipimo kabisa jsa 🤝🏽
 
Ndugu zangu,

Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.

Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.

Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.

Naomba msaada wataalam
Ulikuwa unavinyonga sana kuonesha ubabe?

Nenda wakakubandike nyonga nyingine, MOI.
 
Sasa mtu kawaambia ameshaenda hospital na ameambiwa hana tatizo lolote we unamwambia aende tena hospital.
 
Bi
Ndugu zangu,

Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.

Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.

Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.

Naomba msaada wataalam
Binafsi Mzazi wangu Ana tatizo kama lako hapo Bugando pameshakuwa kama second home lakini wap Muhimbili kaenda pia ila bado tatizo lipo pale pale ndugu kama kuna mwenye uzoefu amsaidie mwenzetu namie ntapata namna ya kumsaidia mzazi wangu
 
Ndugu zangu,

Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.

Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.

Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.

Naomba msaada wataalam
Kacheck pingili za mgongo... ambapo mishapa ya fahamu inapita hasa zile za mwisho jirani na Nyonga... uje na Mrejesho.
 
Back
Top Bottom