Nina maumivu makali ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto. Ni ugonjwa gani huu?

Nina maumivu makali ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto. Ni ugonjwa gani huu?

Ndugu zangu,

Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.

Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.

Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.

Naomba msaada wataalam
 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0019.jpg
    IMG-20241108-WA0019.jpg
    160.5 KB · Views: 11
Pole.
Acha sukari kabisa
Acha soda zote
Acha juisi zote
Acha mafuta, punguza sana chumvi.

Fanya mazoezi hata mepesi mepesi.

Take care yourself, God will do mercy for you.
 
Pole sana.
Maumivu makali kwenye ubavu na nyonga ya kushoto: una maanisha maumivu yako tumboni upande wa kushoto au vipi?
Ni muhimu kujua zaidi kuhusu hayo maumivu mbali na kuwa makali alfajiri vipi ukikojoa yanapungua au kuongezeka makali? Ukinywa maji vipi yanakuwaje?
Maumivu yako upande wa kushoto yaani Kati ya ubavu wa mwisho na nyonga
Maumivu haya hutoweka tu baada ya kuamuka na kuchoza kwa jua
 
Back
Top Bottom