Pole sana.Ndugu zangu,
Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.
Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.
Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.
Naomba msaada wataalam
Ulikuwa unavinyonga sana kuonesha ubabe?Ndugu zangu,
Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.
Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.
Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.
Naomba msaada wataalam
We Shangazi inaonekana unapenda Sana mijegejeUlikuwa unavinyonga sana kuonesha ubabe?
Nenda wakakubandike nyonga nyingine, MOI.
Binafsi Mzazi wangu Ana tatizo kama lako hapo Bugando pameshakuwa kama second home lakini wap Muhimbili kaenda pia ila bado tatizo lipo pale pale ndugu kama kuna mwenye uzoefu amsaidie mwenzetu namie ntapata namna ya kumsaidia mzazi wanguNdugu zangu,
Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.
Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.
Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.
Naomba msaada wataalam
Inasadikika una umri mkubwa ila umekosa staha kabisa.Ulikuwa unavinyonga sana kuonesha ubabe?
Nenda wakakubandike nyonga nyingine, MOI.
Nyonga kazi yake nini?Inasadikika una umri mkubwa ila umekosa staha kabisa.
Nataka kumsaidia mleta mada. Maana nyojga haiwachii burebure.We Shangazi inaonekana unapenda Sana mijegeje
Kacheck pingili za mgongo... ambapo mishapa ya fahamu inapita hasa zile za mwisho jirani na Nyonga... uje na Mrejesho.Ndugu zangu,
Naomba kufahamishwa huu ni ugonjwa gani nimekuwa nikipata maumivu makali sana baina ya ubavu wa mwisho na mfupa wa nyonga upande wa kushoto yapata miaka 3.
Sasa, maumivu haya huwa makali mida ya saa 11 alfajiri mpaka saa 1 au hutokea nikilala muda mrefu.
Nimefanya vipimo kama utra sound, fullb bood picture katika hospitali mbalimbali ikiwemo Bugando ila MAJIBU ni kuwa sina ugonjwa wowote.
Naomba msaada wataalam
Nikuulize wewe ulienyongewa toka enzi na enzi.Nyonga kazi yake nini?
Kuvinyonga.Nikuulize wewe ulienyongewa toka enzi na enzi.
Bibi leo umejibu kama Mvuta Bangi.Ulikuwa unavinyonga sana kuonesha ubabe?
Nenda wakakubandike nyonga nyingine, MOI.
Bangi mimi nakunywa na kujifukiza.Bibi leo umejibu kama Mvuta Bangi.