Nina mawazo mazuri ya kibiashara ila mtaji sina

socha

Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
42
Reaction score
24
Habari.!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mlioheshimu uzi huu na kuupitia
Binafsi nimetafuta kazi kwa mda mrefu sana bila mafanikio
Nimeumiza kichwa ipasavyo kuangalia nifanye biashara zipi changamoto inakuja kwenye mtaji
Kama unaweza kunisaidia kazi kwa wakazi wa mwanza na geita usisite kunisaidia nipate japo kianzio au kama unahitaji business plan kwa mtaji wa kiasi chochote cha pesa tunawezakusaidiana kimawazo ukiona inafaa utaniajiri
Sina pesa ila mawazo yangu yanaweza kuwa msaada kwako
 
Kwenye mawazo au business plan ingiza kipengele cha namna ya kumobilize fund. Sasa business plan gani haina namna ya kupata mtaji.
 
making/acquiring capital is a part of the game, tafuta mtaji, huwezi kujiita mjasiriamali na unashindwa kutafuta mtaji.
 
Habari.!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mlioheshimu uzi huu na kuupitia
Binafsi nimetafuta kazi kwa mda mrefu sana bila mafanikio
Nimeumiza kichwa ipasavyo kuangalia nifanye biashara zipi changamoto inakuja kwenye mtaji
Kama unaweza kunisaidia kazi kwa wakazi wa mwanza na geita usisite kunisaidia nipate japo kianzio au kama unahitaji business plan kwa mtaji wa kiasi chochote cha pesa tunawezakusaidiana kimawazo ukiona inafaa utaniajiri
Sina pesa ila mawazo yangu yanaweza kuwa msaada kwako
Tusikie kwnz Hayo mawazo yko Mkuu
 
Back
Top Bottom