socha
Member
- Nov 25, 2015
- 42
- 24
Habari.!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mlioheshimu uzi huu na kuupitia
Binafsi nimetafuta kazi kwa mda mrefu sana bila mafanikio
Nimeumiza kichwa ipasavyo kuangalia nifanye biashara zipi changamoto inakuja kwenye mtaji
Kama unaweza kunisaidia kazi kwa wakazi wa mwanza na geita usisite kunisaidia nipate japo kianzio au kama unahitaji business plan kwa mtaji wa kiasi chochote cha pesa tunawezakusaidiana kimawazo ukiona inafaa utaniajiri
Sina pesa ila mawazo yangu yanaweza kuwa msaada kwako