CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mkuu mimi nimi nimekuelewa vizuri sana, ila tataizo liko katika hizo nchi mkuu si dhan kama unaweza zilinganisha na Tanzania, wale wako siriasi sana na maisha ya watu wao na hizo sigara unaweza rudi nazo Airport mkuu
- Ila sijajua utakuwa unaenda kuwauzi watanzania wanaoishi huko au wazungu, make wazungu wako makini sana na maswala ya TBS za kimataifa na hata watalii wanao kuja Tanzania mara nyingi sana wanatumia product za kwao huko kama ni pombe wanakunywa wanazo zifahamu fika,
- Na ndo maana huwezi kuta mzungu ananunua juice iliyo sindikwa huku make haiamni, wanakunywa soda kwa sababu wanajua cocacola na pepsi ni standard yao ni ya kimataifa na maji wanakunywa kwa sababu wanajua hayana process zenye kuhitaji chemical nyingi