Nina mchongo wa hela...Ukifanywa vizuri pesa ni ya uhakika !!!!

Mkuu mimi nimi nimekuelewa vizuri sana, ila tataizo liko katika hizo nchi mkuu si dhan kama unaweza zilinganisha na Tanzania, wale wako siriasi sana na maisha ya watu wao na hizo sigara unaweza rudi nazo Airport mkuu

- Ila sijajua utakuwa unaenda kuwauzi watanzania wanaoishi huko au wazungu, make wazungu wako makini sana na maswala ya TBS za kimataifa na hata watalii wanao kuja Tanzania mara nyingi sana wanatumia product za kwao huko kama ni pombe wanakunywa wanazo zifahamu fika,

- Na ndo maana huwezi kuta mzungu ananunua juice iliyo sindikwa huku make haiamni, wanakunywa soda kwa sababu wanajua cocacola na pepsi ni standard yao ni ya kimataifa na maji wanakunywa kwa sababu wanajua hayana process zenye kuhitaji chemical nyingi
 
watavuta tu.....wao c wanataka tobacco ya bei rahisi....mbna watu wanavuta bangi internationally they dont care where ts from....as long ni bangi itavutwa tu. tha same it is for tobacco...mtu akishakua addicted atafanya chochote a ridhishe mahitaji yake.....pia sidhani kama tbs za hapa bongo zinapishana sana na hzo za nchini kwao. As long as hiyo cigarette iko well packed atanunua tu. we umeconsume vitu vingapi vimetengenezwa abroad bila kuzingatia tbs...utacheck packaging kama iko poa unatumia tu. bongo tunakunywa ma juice e.g ceres, ma vyakula ya kopo, spaghetti, macaroni, noddles, coffee etc....matakataka chungu nzima ukizingatia vngne vianatoka china. na kama ukicheck ni substitute product ya ukweli mwishowe unakua a royal customer kwa muuzaji wako unakua a repeated customer as a result muuzaji anakua na uhakika waku fanya sales daily !!! Afterow serikali yetu ya tz tuna export tonnes kibao za tobacco na ready made cigarretes. wakibisha unawaambia ina maana serikali ya tanzania ina manufacture sumu kwa raia wake??? chances za kukataa zipo sikatai lakini ni ndogo sana !!!
 
Kuna siku nilikuwa naangalia UK border force kupitia Sky, nikaona muhindi mmoja na mkewe wamekamatwa na packet zaidi ya 400 za sigara wamezismuggle kutoka kwao... Wakapigwa tax za UK kwa kuimport, wakapigwa fine ya kusaifirisha illegal substance kwa ndege waliyopanda wao bila kudeclare, wakapigwa kodi nyingine ya kuingiza sigara EU, halaf wakapigwa na deportation hapo hapo airport na kuwa banned kukanyaga tena UK land for 10yrs... Kwa kuattempt kuiibia serekali ya Uingereza mapato ya kodi na kutosema ukweli nia yao ya kwenda UK wakati wa kuomba visa, kwahiyo visa yao ikawa void....wale jamaa hawakuwa na hizo fine zote... Waliishia kupanda next available flight na mtaji wao wa sigara ukaishia pale.

Sasa kama mko tayari kukutana na kasheshe kama hizi za wazungu then think of smuggling sigara nchi zao...
Wazungu wanafanya mambo yao kimya kimya sana na hawana papara na upelelezi wao...watch out.
 
this is what i was looking for. your ideas nd comments on tha whole issue...cio kwamba nilikuwa na plan kufanya hio kitu bali nalifwatilia uwezekano.....istoshe wat if mtu ukizi export ukiwa huku huku tz???
 
Kwanza courier gani atakubebea? Kwa vibali vipi? Na kodi za nchi gani? Kama ni magendo, Zitapita customs ya nani? Scanners huzijui? Hizi anti terrorism laws zimefanya kila kitu kiwe wazi kupita maelezo kwenye borders. Ukisema usafiri nazo packet 20 20, bei ya ndege ni kubwa kuliko mzigo unaopeleka, seuze chakula, malazi na usafiri wako! Think again please...
Kama unataka kuexport, hebu safirisha chick peas, black paper na lentles utapiga hela mpaka uchanganyikiwe.
 
usujaribu biashara haramu yoyote kwenye maisha yako pingu na mtaji utakufa wote, chukuwa jembe ukalime mjomba
 
Haya ndo mawazo ndo nlikuwa natafuta....I dig u much bro nd thanx 4 ur challenge....unachosema ni kweli kabsa iko profitable bt ukikamatwa ni noma sana. i guec i have 2 look 4 an alternative....unafaham mtu yeyote ambaye anafanya cheap exportations za vitu kama chick peas, black paper etc ?? anafanyaje na nchi zipi ??
 
usujaribu biashara haramu yoyote kwenye maisha yako pingu na mtaji utakufa wote, chukuwa jembe ukalime mjomba

kilimo kinalipa endapo kitakuwa in large scale nd im less interested in that sector cz najua return yake ni finyu na ya kusua sua.....malengo yangu yako kwenye direct selling sana sana. na kuhusu biashara haramu najua madhara yake kuliko unavyofikiria...siwez fanya !!!!
 
Mi nadhani hii biashara inalipa kwa vyovyote vile iwe imefanywa halali au si kiuhalali!! hapa nilipo, wanavuta si wasichana si wanavulana! Madingi ndiyo usiseme kabisa.
 
Me sitaki maana mmh ole wake ampae mwenzake kilevi
 
Usijaribu biashara yoyote haramu. Border securities are very tight. They are using x rays. Huwezi ficha kitu wasikione. Tafakari upya.
 
Mi nadhani hii biashara inalipa kwa vyovyote vile iwe imefanywa halali au si kiuhalali!! hapa nilipo, wanavuta si wasichana si wanavulana! Madingi ndiyo usiseme kabisa.

Hii biashara ni matata sana, profitable nd very powerful. sema ndo vile ukikamatwa nomaa. Return (profit margin) yake ina fika mpaka 1100% kulingana na location.
 
kwanini unaumiza kichwa si ufanye biashara kama ya
binti yake liyumba mambo yaishe,
hapa jf unategemea nani akubali kuwa anafanya
biashara haramu, shauri yako.
 
Back
Top Bottom