The Next MP
Member
- Nov 15, 2023
- 71
- 119
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunampenda Yesu ndio na hilo alipingiki lakini huu siyo ushauri toshelezi.KWANZA MTANGULIZE YESU KRISTO.. PILI POLE SANA
Kwanza, mpe pole sana ndugu yetu.Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
MkuuWakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Sawa, Asante sanaTazama PM
Shukrani sanaPole kwa kuuguza mkuu. Ushauri wangu; kuhusu hosp yoyote utakayotajiwa hakikisha unafanya uchunguzi wa kutosha kuhusu; 1. Uwezo wao 2. Maoni (reviews) za waliotibiwa hapo 3. Uwezo, uzoefu na maoni kuhusu madaktari wao ( wa tatizo linalowapeleka) 4. Gharama zao.
Kila la kheri na Mungu amsaidie mgonjwa wako.
Asante sana sanaMkuu
Pole sana na pole nyingi zaidi kwa mgonjwa, tunawaombea faraja na uvumilivu katika kipindi hivi kigumu
Experience
- APOLLO ni 1 ya hospital bora kabisa in terms of support, price and customer services.
- APOLLO have 1 of the best support system kuanzia patient recruitment, support na huduma
All you have to do, tembelea website yao then wasiliana nao, kutoka hapo mengine yatafuata: Best Hospital in Delhi | Top hospital in Delhi | Delhi hospital
View attachment 3050936
Shukrani sanaKwanza, mpe pole sana ndugu yetu.
Lakini pia, ungesema ndugu yenu anaumwa nini. Operation za ziwa zinatofautiana. Anaumwa nini? Mpaka mmechagua kwenda India maana yake tayari mmeshauriana na kuamua kwa pamoja.
Achana na Agency, fika katika Ubalozi wa India nchini. Wao bila kukutoza gharama za uwakala watakusaidia katika kila hatua.
Kuanzia kukushauri, kukuunganisha na taratibu zote za Visa.
Epuka sana kutumia vishoka. Watakupiga.
Amina, Asante sanaKWANZA MTANGULIZE YESU KRISTO.. PILI POLE SANA
Acha kupotosha,waliomtangaliza na wasiomtanguliza hufa tu,hivyo ushauri wako haufai hapaKWANZA MTANGULIZE YESU KRISTO.. PILI POLE SANA
Wadau Nawashukuru Sana wote kwa Msaada wenu wa maoni Pole na Maombi Yenu Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kujitoa Muda wenu. Hapa nimeshapata Pa Kuanzia.Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.