Ishi sana mkuu 👊Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo).
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Hongera zako tele mkuu....Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo).
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Na huko PM sijui wanaendaje??Hongera zako tele mkuu....
Nina swali la kizushi, hivi hua mnapataje ama nmatogozaje humu Jf..[emoji849]
Nakuibia siri mie miaka ya themanini nilikuwa nakunywa bia Safari Hotel Arusha..kampani yangu ilikuwa Mako Nyerere akiwa CTU Monduli....kwa hiyo unaweza kadiria umri wangu....tukichangamka tunakwenda Haile selasie Rd...tulikuwa na mademu zetu watoto wa Chifunguo.Hongera sana Mkuu!
Swali la Kizushi, je wewe ni Mzee kama vijana wa Afu mbili wanavyofikiri??
Una miaka 15 humu then unashindwa kuandika neno kumi na tano unaandika kumi na tana. Adhabu yako piga magoti omba mvua mpaka inyesheMabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo).
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Watu wengi waliojiunga JF miaka ya nyuma wapo wanasoma ila hawachangii...kwa hiyo mada nyingi vijana ndio wanatawala...hii sio nzuri lakini watu wanaogopa kujibiwa vibayaHongera sana Mkuu!