pyongyang
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 737
- 1,590
Upo serious mamii?Jamani em niunganishe nae, mbona naona anafaa kabisa kwangu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo serious mamii?Jamani em niunganishe nae, mbona naona anafaa kabisa kwangu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nilifunguliwa 😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko ikabidi wokovu ukujie zaidi? Jamaniiii
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
hudhurieni vikaoWapo bhana na inawezekana kabisa, acha kuwa na fikra potofu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nilihisi kufa kufa kwa ule msisimko, mapenz raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Njoo piemIla Mzungu pori acha kunibania ridhiki.
Em niunge naye huyo bhana, naona ananifaa kabisaa.
Nia njema kabisa, na yenye kheri.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Sawa Simba NitawalaSasa unakoelekea utaliwa ww ,Kwa nn usiwale watot una shda gan??
Sawasawa Brother JohnN Jambo la kawaida hilo
Wala usiogope hakuna tatzo hapo.
Bado hujachelewa. Angalao ungekuwa na 44 ndio ningeshangaaWakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Duh!Tupo wengi aiseee mi naenda 24 sasa simjui mdada yupoje..
Nimejaribu nashindwa najikuta nina aibu sana aiseee
Mpaka najishangaa mkuu tatizo nini...Duh!
Kutoboa nini?Kwanza ina simama tuaanzie hapo kwanza?
Kama ina simama na huwa kuna muda hisia za mapenzi zinakuijia hapo haina shida yeyote, maana mwanaume ukisha weza kudhibiti hisia za nyege zako una asilimia kubwa ya kutoboa na kuishi kwa amani.
Ila kama haisimami na huwa huna hisia za mapenzi basi hilo ni tatizo kubwa kwako unatakiwa kupatiwa matibabu.
We jamaa umenikimbusha mbali sana!nilipitia njia Yako hii!!Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Brroooooo 🙌🏿 Wewe Sasa Ndiyo Umeongea Ahsante Sana Mekuelewa Vyema Sanaa Mno Hilo Ndio Tatizo Langu Naogopaaa Kuogoopa Kiroho Na Kimwili Pia Brother Umenielewa Sana Japo Wengine Wengi Hawajanielewa Ahsante Sana Kwa Ushauri PiaWe jamaa umenikimbusha mbali sana!nilipitia njia Yako hii!!
Hadi nafikisha 22 no sex no dem!
Uoga ulionao ni kupoteza kile ulichonacho kiroho!!yaani hofu ya kupoteza upya wa mwili na roho!!
Unapaswa kuoa rasmi Binti wa ujana wako,muombe mungu akupatie wa kufanana na wewe!na hapo ndipo mtihani ulipo coz unajikuta unapendwa sana na mabinti Tena sana!wanavutwa na nguvu fulani Mioyoni mwao ambayo wewe unayo!!
Maombi plus kaoe tu!!
Ok hapo ungesema yakwamba kukwichi kwichi unasubiri ndoa ningekuambia hongera. Lakini kwakuwa umesema kuwa unaogopa na kwakuwa hujaomba msaada wakukutoa uoga bali ulichoomba ni kuambiwa hali hiyo inayokukuta ikoje basi ntakwambia.
hapo ni kwamba moyo unataka lakini akili nayo inakutia uoga iko hivi kijana anaeogopa mwanamke akimsogelea au kukutana usokwa uso kijana huyo utetemeka hadi moyo wake kudunda kwa kasi. Na hapo hatakama kijana huyo anatamani kufanya hawezi kujitetea mbele ya mwanamke kwahiyo mchawi wako sio mwili wako wala sio moyo wako wala sio jilani yako tadhama kila mtu au mwanadamu au kiumbe chochote kiliumbwa na uoga. Lakini utashangaa kwamba kwanini kama uoga ni asili ya kila kiumbe eti mbona vijana wengine ni wajasili?. Basi jibu lako ni [ili kuushinda uoga ni kucheza na akili yako akili ndo inaongoza kilakitu ili uwe jasili cheza na akili yako mwenyewe] fanya mazoezi yako kuongoza akili yako kupata ujasili hapo utatenda chochote kwa kujiamini ukishamaliza kuiongoza akili fanya zoezi
We kwenda huko go have sexBrroooooo 🙌🏿 Wewe Sasa Ndiyo Umeongea Ahsante Sana Mekuelewa Vyema Sanaa Mno Hilo Ndio Tatizo Langu Naogopaaa Kuogoopa Kiroho Na Kimwili Pia Brother Umenielewa Sana Japo Wengine Wengi Hawajanielewa Ahsante Sana Kwa Ushauri Pia