Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Umepanga kuwa na watoto wangapi?Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
nawewe ukiwa mmoja wapoStory za mashoga hizo
Huyu ndoa zitamsumbua kwa sababu Hana uzoefu na wanawake.Hongera kijana,
Kila Jambo na wakati wake, wengine walianza kwichi kwichi wakiwa lasita b lakini hamna faida yoyote waliyo pata,
Chamsingi jitunze, usijisikie vibaya, subiri Hadi siku ya ndoa ndipo uweze Kula tunda kimasikhara kihalali kabisaa.
Omba saana neema ya Ki- Mungu ikuongoze, Kwa maana Kwa ajili ya kawaida huwezi kabisaaa Ku kaa bila x, Hasa Zama hizi za mama samiyyaa
Mwanafunzi mwenyewe sijui kalala badoπ
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Kama hata nyeto hajawahi kupiga inamaana hasimamishi kabisa.Hata NYETO hunawahi piga kaka?
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Duuh! Hivyo lengo la uzi wako ni nini?
Sina ubobezi wowote myπ πNgoja tuanze na huyu bikra kwanza, kisha mtafata nyie mliobobea π π π
Mtego huu....Sina ubobezi wowote myπ π
Hajaamka bado.Mwanafunzi mwenyewe sijui kalala bado[emoji28]
Akiamka atakuja
Nahisi Ni Kweli UnachoongeaTatizo la kuishi nyumba isio na kaka au kitaa chene wana.
Nipo Madame Uliniambia Nije PMAkiamka atakuja
Nipo Tayari Madame Meamka Kitambo Sema MajukumuMwanafunzi mwenyewe sijui kalala badoπ