Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Hongera kijana,

Kila Jambo na wakati wake, wengine walianza kwichi kwichi wakiwa lasita b lakini hamna faida yoyote waliyo pata,

Chamsingi jitunze, usijisikie vibaya, subiri Hadi siku ya ndoa ndipo uweze Kula tunda kimasikhara kihalali kabisaa.

Omba saana neema ya Ki- Mungu ikuongoze, Kwa maana Kwa ajili ya kawaida huwezi kabisaaa Ku kaa bila x, Hasa Zama hizi za mama samiyyaa
Huyu ndoa zitamsumbua kwa sababu Hana uzoefu na wanawake.
Wanaume malaya ndo huwa na ndoa nzuri sababu upata machaguo sahihi
 

Attachments

  • 1741945575523.png
    1741945575523.png
    101.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom