Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Screenshot_20250314_090748.jpg
 
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Dogo hebu soma si upo first year huo umri, achana na mbususu, zitakuharibia direction ukiangalia ndo kwanzaa unajitafuta. Sisi kaka zako tungekuwa bize na mbususu ktk umri kama huo, baadhi tusingepiga hatua tulizopiga
Miaka 22 mkuu hujagegeda alooo. Ungesema makuzi yako na maisha unayo ishi tungejua tatizo. Maana mm kwenye umri huo nilikua nishakula hadi ma baa medi yani, umalaya huu😂
 
Back
Top Bottom