Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Nina Miaka 22 ila sijawahi Sex kabisa na Mwanamke yeyote na ninaogopa sana

Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Safi sana.
Ogopa sana hiyo kitu inaharibu maisha sana ya wanaume.

Tulia hivyo hivyo, kitumbua ni hatari zaidi ya bangi
anastazia
 
Back
Top Bottom