Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Huyu jamaa alikosa majina yotee aka amuua kuchukua user name ID ☺️😊
Mimi naona picha haitoshi aweke Video yake kabisa tena akiwa anavuka barabara ili tuhakikishe km kweli au uongoWeka picha tuone kama hauonekani kama mzee.
Shikamoo mzee , mzee labda ungetuma picha ya muonekano wako mzee wanguMtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Weka picha tuoneMtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Ukijipata hata wazee wanasalimia kwa heshima mkuu.Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
ShikamooMtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Sisi tunataka Video sio PichaWeka picha tuone
😅Unachokihitaji nina uhakika unafahamu kabisa kuwa hautakipata!Weka picha tuone kama hauonekani kama mzee.
😅Daa! Noma sana.Punguza kuvaa makoti ya suti yaliyopauka na kofia za ccm
Dingii shkamooMtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.