Nina Miaka 27 lakini watu wananiona kama mzee

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.

Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.

Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .

Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
 
Shikamoo mzee , mzee labda ungetuma picha ya muonekano wako mzee wangu
 
Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.

Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.

Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .

Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Weka picha tuone
 
Ukijipata hata wazee wanasalimia kwa heshima mkuu.
 
Shikamoo
 
Hapana.. Kuna watu wana miili mikubwa, ualaza/kipara na wanavaa kiheshima kwa hiyo ni kawaida kuonekana wakubwa.

Na kuna wengine wana sura zimechoka, zimekomaa au wana mashavu yameshuka kama za watu wazima. Na mara nyingine ni watoto wadogo

Kwa hiyo ni kawaida. Kama watu wengine wanavyosifiwa ubaby face, wewe unasifiwa uzee.ni kawaida na huwezi kuwabadilisha. Jifunze kuishi nalo na kupokea salamu ukiamkiwa
 
Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.

Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.

Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .

Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Dingii shkamoo
 
Back
Top Bottom