Nina Miaka 27 lakini watu wananiona kama mzee

Ishi maisha yako bila kujali wengine wanasemaje, unataka kuishi kwa kutaka kusikiliza maneno ya binadam? Utapotea sheikh
 
Sisi wenye nywele vichogoni tu na hatujafikia hata hamsini tulishazoea maneno ya kipuuzi Kama hayo Mara shikamoo ,Mara habari mzee .

Imefika point mtu akishaanza habari za salamu za kizee ni kuwabania huduma unayotoa mpaka aombe msamaha ,huwezi kuniita mzee ilihali bado nguvu ninazo .

Pole hauko pekee yako
 
Kubaliana na hali, tafuta majimama utaishi maisha ya amani.
 
Wee mzee mdwanzi sana, unaanza kujifunza tabia za kikuda, utakuwa mzee mkuda ukifika uzee halisi
 
kuna mambo mawili tu gentleman,

moja,
huenda pesa imekutembelea mapema, na hiyo ni desturi walio chini yako na jamii nzima huita watu wa aina hiyo kama Mzee, but ni kwasababu ya mkwanja alionao.

Pili,
inawezekana umepigika haswa na stress za maisha na ajira. Halafu bado unakaa kwenu kula kulala bure lakini unaonekana kama wewe ndiyo baba mwenye nyumba mtafuta pesa, kumbe ni mtoto wa mwisho, dah!.

Suluhisho rahisi,
ni kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja na kutoka home na kutokomea kwingineko kwenye mazingira mapya na tofauti kabisa ya kujitaftia ikiwa ni pamoja na shambani.

Ni wazi now days,
within five years mtu anazeeka mbaya sana. Stress ni kitu mbaya sana ๐Ÿ’
 
C
Chai au kahawa!chai bila sukari kunywa Kila mara asubuhi mchana jioni baada ya mlo!

Natural chemicals zilizopo Zina anti -aging process Kwa ngozi!

Jaribu!!
 
kuna jamaa bodaboda, kabla ya kunipakia nikampa shikamoo yake,, akagoma akaanza kujitetea ye ana miaka 32,,

lakini nikamkubalia shingo upande,,
anaonekana age go ๐Ÿคฃ
 
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe!
Sijawai kuwa na ๐Ÿ†” zaidi ya hii na sidhani ntakuja fanya huo ni utoto na kujivunjia heshima...

So Kama umeamua kua na PERCEPTION ya kua ni Mimi siku katazi unaweza kuendelea

Mimi ni mtu MZIMA nisha pita huko kwenye utoto siwezi kuwa na multiple ๐Ÿ†”
 
Mzee wangu ๐Ÿ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ