Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ishi maisha yako bila kujali wengine wanasemaje, unataka kuishi kwa kutaka kusikiliza maneno ya binadam? Utapotea sheikh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe!Huyu jamaa alikosa majina yotee aka amuua kuchukua user name ID ☺️😊
Ya mfano na yangu...Ila simjuu Wala hatujuani
Wee mzee mdwanzi sana, unaanza kujifunza tabia za kikuda, utakuwa mzee mkuda ukifika uzee halisiSisi wenye nywele vichogoni tu na hatujafikia hata hamsini tulishazoea maneno ya kipuuzi Kama hayo Mara shikamoo ,Mara habari mzee .
Imefika point mtu akishaanza habari za salamu za kizee ni kuwabania huduma unayotoa mpaka aombe msamaha ,huwezi kuniita mzee ilihali bado nguvu ninazo .
Pole hauko pekee yako
Vunga mshikajiWee mzee mdwanzi sana, unaanza kujifunza tabia za kikuda, utakuwa mzee mkuda ukifika uzee halisi
kuna mambo mawili tu gentleman,Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Chai au kahawa!chai bila sukari kunywa Kila mara asubuhi mchana jioni baada ya mlo!Mtindo wangu wa maisha na kuvaa kwangu navaa kama kijana na mambo yangu ni ya vijana lakini watu wananiona kama mzee.
Kuna wazee wamenizidi umri lakini wananiamkia na kunipigia magoti na Mimi nabaki kuwashangaa.Nikijiangalia kwenye kioo naona uumbaji wa Mungu upo sahivi Wala sio mimi sio Mzee kama wao wanavyoniona.
Wengine wananiita Babu.Wengine wanasema nitafute wazee wenzangu niwaoe.Cha ajabu wanashindwa kutambua wao wananiona Mzee ila napiga kazi kama kijana .
Huu ni ugonjwa gani na dawa gani naweza kutumia wataalam maana nimechoka kuitwa na kudhaniwa Mimi ni Mzee wakati Bado Mimi ni Kijana.
Sijawai kuwa na 🆔 zaidi ya hii na sidhani ntakuja fanya huo ni utoto na kujivunjia heshima...Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe!
Kuna yale makoti wanapenda sana kuvaa walimu wa shule ya msingi, yanampasuko kiunoni... Ukivaa Yale lazima uitwe mzee.Punguza kuvaa makoti ya suti yaliyopauka na kofia za ccm
Mzee wangu 👊Sijawai kuwa na 🆔 zaidi ya hii na sidhani ntakuja fanya huo ni utoto na kujivunjia heshima...
So Kama umeamua kua na PERCEPTION ya kua ni Mimi siku katazi unaweza kuendelea
Mimi ni mtu MZIMA nisha pita huko kwenye utoto siwezi kuwa na multiple 🆔