Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
ha ha nimecheka sana kumbe ndio mbinu hizoWanawake dar wajanja sana,
Kina style flan hivi wanatangaza kuwa wanauza kitu flan, mfano wangu alikuwa anauza gari(Toyota Allex) nka mchek watsup mana hiyo ndiyo alikuwa ana prefer, from that day anabadilisha dp zake kila siku anaweza za ngono ngono afu anauliza mteja vp umeamuaje?
Nkajibu bado nafikiria.
Mara ntumie 50,000 niende club afu tutaelewan!
Dah kumbe muuzaji wa mwili na si gari. Tuwe makini jamani