BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Na wewe jikaze mkuu wangu,weka bandiko vijana tuje PMHa ha haa, ila unaweza pata. Mungu mwema(ila duu,umejikaza kweli)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe jikaze mkuu wangu,weka bandiko vijana tuje PMHa ha haa, ila unaweza pata. Mungu mwema(ila duu,umejikaza kweli)
Na akuoneshe kabuli lenye msalaba unaosomeka jina la huyo Baba WA watotoNikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Sitaki,wanaume wa kisasa hamtaki watoto wa wenzenu...ngoja nilee wanangu...maisha ndo hayahayaNa wewe jikaze mkuu wangu,weka bandiko vijana tuje PM
Mi niko tayari mkuu 🤣Sitaki,wanaume wa kisasa hamtaki watoto wa wenzenu...ngoja nilee wanangu...maisha ndo hayahaya
Bas ngoja tufanye mamboMi niko tayari mkuu 🤣
Sogea bas kule kwa PM mremboBas ngoja tufanye mambo
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
Sawa mkuuSogea bas kule kwa PM mrembo
Na asipokuonyesha, wewe hutamuuwa kweli..??Nikiweka nia
Unaweza kunionesha kaburi/makabuli ya baba wa hao malaika?
nitafute 0782899121Natafuta mume serious nina miaka 29 ni maji ya kunde Mimi ni mwalim shule ya private ila nina watoto wawili. Natafutaa mchumba kuanzia Miaka 30 kuendelea, akiwa serious mpaka kwenye ndoa.
Masingo faza tumekosa nini tena jamani? Kupeana siteresi tu [emoji51][emoji51][emoji51]Masingo faza. Lol
mpwayungu village hili lina ukweli wo wote? [emoji16][emoji16][emoji16]walimu na usingle mother nikama Pete na kidole