Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

Nina miaka 32, nishaanza kupuuza kufanya mapenzi. Je, hii ni kawaida?

Hakuna ttzo hapo boss,Kuna muda ukfika akili inazama Sana kwenye maendeleo has a ikiwa ushafanya ngono Sana za ovyo bila faida.wewe sio limbukeni wa K

Akili imekuwa huoni Tena kuwa ngono za ovyo Ni Jambo la maana Bali unaona Kama unapoteza pesa na nishat yako ya mwili tu pia Ni vzr maana unajiepusha na maradh
 
Ikiwezekana acha kabisa uendelee kutafta pesa maana uko dk 70 kwenye utafutaji
 
Back
Top Bottom