Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
Hapana nipo single/divorced na genye zinazingua ndomana
Kiapo baba sisi wengine ni wazunguTafuta mwanamke awe anakusaidia kushusha hilo zigo la Nyege, au bado unatunza kiapo cha ndoa mbele ya Kadamnasi
Kiapo baba sisi wengine ni wazungu
Mimi ndio mzungu nikaoa mswahil na waswahili si mnajijuaUnamaanisha nini kusema wewe na huyo unayemjua (Sisi) ni mzungu ?? Huenda mimi ni mgeni mitaa hiyo
Mimi ndio mzungu nikaoa mswahil na waswahili si mnajijua
Nakazia hapaMiaka 32 umeoa, HONGERAAA..
Wengine tuna hiyo miaka hata wachumba hatuna..!!!
#YNWA