Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Bora nilee wanangu watatu licha ya kila mtoto ana mamaye.mm kuoa sioi sitaki mateso. mama atanisaidia kulea watoto uzuri nina wanangu.
Nimezaa na mademu wawil wa uganda mmoja mtanzaniaNyie ndo mnacreate masingo Maza Mungu akulaani,kama huwezi Kuoa Bora usizalishe hovyo pambafu wewe
Sema Ata Mimi sikushauri Kuoa
Kwani yeye angejuaje hao wanawake wangeshika ujauzuto.Nyie ndo mnacreate masingo Maza Mungu akulaani,kama huwezi Kuoa Bora usizalishe hovyo pambafu wewe
Sema Ata Mimi sikushauri Kuoa