Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

Duuh mume akirud kazin, utadhani baba ako
mwanamke anawahi kuzeeka, lets say nipate msichana wa miaka 24 mua huu by the time mimi nafika 60 yeye atakuwa na 45 - hapo mimi bado kabisa nadai - yeye atakuwa ndiyo anaelekea ukingoni......

So age wise si hoja kabisa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nikuwe mtawa
hapana, utafurahia tu shaka ondoa- cha msingi ni Upendo wa dhati na mimi najua kumfanya msichana afurahie maisha ya ndoa... sababu tayari mi ni mtu mzima naelewa mengi na nimekwepa mishale mingi.
 
Yaani unaogopa ila kunakuwa na heshima
39 kwa 24 unaogopa nini sasa, labda kama hujawahi kuwa na mwanaume sawa nitaelewa ila viungo si ni vile vile tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…