Nguvu zipi?Ila wanakuwaga hawana nguvu hawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu zipi?Ila wanakuwaga hawana nguvu hawa!
Hapa hachaguliwi mkuu bali wanachaguana....Duh mke anachaguliwa kama nyanya 🤣🤣🤣
Aiseeehapana, utafurahia tu shaka ondoa- cha msingi ni Upendo wa dhati na mimi najua kumfanya msichana afurahie maisha ya ndoa... sababu tayari mi ni mtu mzima naelewa mengi na nimekwepa mishale mingi.
Hapana, kama ulivyosoma utangulizi wangu, napenda vimodo ( 20 - 26)...wajenga misuli kama mimi sinaga muda nao.Dah!! me nikushauri tu ukajaribu yule bingwa wa dunia wa mchezo wa tennis SERENA WILLIAM kidogo mnaweza ku match.