Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

Aha hata mpaka hapo mimi nipo double siko single tena
 
mwanamke anawahi kuzeeka, lets say nipate msichana wa miaka 24 mua huu by the time mimi nafika 60 yeye atakuwa na 45 - hapo mimi bado kabisa nadai - yeye atakuwa ndiyo anaelekea ukingoni......

So age wise si hoja kabisa...
Hapo umenena
 
hapana, utafurahia tu shaka ondoa- cha msingi ni Upendo wa dhati na mimi najua kumfanya msichana afurahie maisha ya ndoa... sababu tayari mi ni mtu mzima naelewa mengi na nimekwepa mishale mingi.
Mungu akupe haja ya moyo wako mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…