Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

hapana, utafurahia tu shaka ondoa- cha msingi ni Upendo wa dhati na mimi najua kumfanya msichana afurahie maisha ya ndoa... sababu tayari mi ni mtu mzima naelewa mengi na nimekwepa mishale mingi.
Aiseee
 
Dah!! me nikushauri tu ukajaribu yule bingwa wa dunia wa mchezo wa tennis SERENA WILLIAM kidogo mnaweza ku match.
 
Dah!! me nikushauri tu ukajaribu yule bingwa wa dunia wa mchezo wa tennis SERENA WILLIAM kidogo mnaweza ku match.
Hapana, kama ulivyosoma utangulizi wangu, napenda vimodo ( 20 - 26)...wajenga misuli kama mimi sinaga muda nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…