Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri ulionao wenzio wanalea vitukuu..wewe bado unatafuta kuolewa?
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Ana upendo wa aina gani sasa, kama ameshindwa kuwapenda ndugu zake wanaokaa kwake, akitoka anafunga nyumba then nduguze anawatenga kwanini asiwape Uhuru wa nyumba nzima, huyo nae n msanii tu hana upendo wala nini.Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Nimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Kama mambo hayatoenda vizuri kwa huyo Mghana karibu kwangu tulisongeshe.
Mimi nina 42 yrs kwa hiyo kwa mtoto wa dada yako hakuna kesi.
Urefu ni 6.1,mweusi na body ya wastani.
Miaka ni just numbers as long as mnaelewana na mnaweza kuishi kwa amani, furaha na upendo na kuvumiliana madhaifu yenu kubali uwekwe ndani mwamba aendelee kupiga muwa mdogo mdogoNimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.
Kabila ni Mghana, alisoma Marekani na Uingereza. Ni investment banker. Pesa kwake siyo tatizo kabisa. Tulifahamu tofauti za umri kati yetu, tulikuwa marafiki. Kutokana na nature ya kazi yake anasafiri sana. Zaidi ya familia yake hana marafiki wengi. Mara nyingi tulifanya picnic pamoja wakati wa kiangazi, kwenda kula dinner na vitu vingine.
Alinipeleka kwao likizo, amejenga nyumba ya vyumba vinne vya kulala. Huwa anaifunga akiondoka na binamu yake anaishi kwenye guest wing na familia yake, ndiyo kama walinzi.
Huyu mwanaume anasema amenielewa sana anataka kumuona. Miaka yangu ni 45 na mtoto wa dada yangu mkubwa ana miaka 36 nikifikiria kumletea uncle ana 38.
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.
Sina mume wala sijawahi kuolewa.
Duuh hii kaliNimeiangalia habari ya Kajala na Harmonise ninaona ni haya maisha yangu kabisa. Mwaka 2014 nilikutana na kaka mmoja kutoka Ghana, ni mweusi ule weusi unaon’gaa, mrefu 6”2 amepanda. Kijana huyu tulielewana tunaweza kuongea mpaka asubuhi.