Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

Ni washilikina sana...usishangae siku Moja ukatolewa kafara aisee..
 
Card plz 📤📥
 
Ana upendo wa aina gani sasa, kama ameshindwa kuwapenda ndugu zake wanaokaa kwake, akitoka anafunga nyumba then nduguze anawatenga kwanini asiwape Uhuru wa nyumba nzima, huyo nae n msanii tu hana upendo wala nini.
 
JF kumbe vibibi tuko wengi.... 🤣🤣🤣🤣..all the best rafiki,kama ana tick vigezo vingine wewe mpokee...wanaume wengine wakubwa kiumri tu,nachotaka kusema kama ni mdogo lakini ana act maturely then mkubali....
 
Sijawahi kufanya nae mapenzi, kuna wakati alihamisha £ 8,000 kwenye account yangu zinisaidie akiwa safarini. Kipindi hicho nilikua ninaongeza ujuzi.

Sina mume wala sijawahi kuolewa.

Halafu Kuna bahari anasema "MAPENZI SIO PESA"

Tafuteni hela vijana mle VINONO vya dunia vyenye mafuta na ladha tamuu.

"If you think money can't buy happiness, then go and ask the homeless and the Jobless"

Any way Daisy Llilies TUNAOMBA MREJESHO TAFADHALI.

#YNWA
 

Unataka nini kwetu? Maana naona hii Ni Kama report Fulani Hivi
 
Miaka ni just numbers as long as mnaelewana na mnaweza kuishi kwa amani, furaha na upendo na kuvumiliana madhaifu yenu kubali uwekwe ndani mwamba aendelee kupiga muwa mdogo mdogo
 
We dada utakuwa mrembo sana. At 45 bado unapendwa loh
 
Duuh hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…