The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Mwaka hauishi utaumwa sanaHabari ndugu zangu
Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?
Kwanini Mkuu?
Tuko wachache sana ktk hiliHabari ndugu zangu
Hiii ni hali ya kawaida kwa binadamu kweli yaani miaka yote hiyo sijawahi umwa hata tumbo, naomba kuuliza ni hali ya kawaida?
Hii kauli asipoikataa itafanya kazi bila chenga
hahaha we mzee wewee!
Sawa mkuu nimepanga jumamosi niendeSafi, na hongera sana. Kwa lifestyle tunazoishi now days ni agharabu sana kukaa muda mrefu hivyo pasipo kuumwa ila nakusihi mkuu usisubiri mpaka uumwe ndio uwende hospital, jijengee utaratibu hata wakufanya check up annually.
Jambo lisipikutokea muda mrefu ukiliwaza tu jua liko njiani lajaKwanini Mkuu?
Sijakuombea mabaya ndugu yangu ila kuna mambo hasa mabaya yakikujia kichwani jua yako njiani mfano
Siku ukiumwa andika wosia mzee ...
Hautoboi...
Niliwahi kumbiwa hivyo😅😅
Nakuelewa mkuu na post zakoSijakuombea mabaya ndugu yangu ila kuna mambo hasa mabaya yakikujia kichwani jua yako njiani mfano
Magonjwa
Misiba
Ajali
Fumanizi nk
Sent using Jamii Forums mobile app