Nina miaka 6 na miezi mitano sijawahi kuumwa

Nina miaka 6 na miezi mitano sijawahi kuumwa

Safi, na hongera sana. Kwa lifestyle tunazoishi now days ni agharabu sana kukaa muda mrefu hivyo pasipo kuumwa ila nakusihi mkuu usisubiri mpaka uumwe ndio uwende hospital, jijengee utaratibu hata wakufanya check up annually.
 
Back
Top Bottom