Nina mihogo tangu mwaka jana nimekosa soko, nawaza nisage kuwa unga ndio niuze

hapa nilipo inatoka 5 euros a kilo, hio ni zaidi ya 10,000 tz, sema ni vile tz we dont have technology to freeze and meet international stand and aslo we find a way to avail it here, thats logistically either by sea or air.
 
Ni mkununua cooler haulages kufanya packaging. Ulaya wanaangalia sana standard ya packaging. Kwasababu ni frozen packaging lazima iwe ya plastic.

Haya ni mambo ya kufanyia inquiry kwenye balozi
 
Ni mkununua cooler haulages kufanya packaging. Ulaya wanaangalia sana standard ya packaging. Kwasababu ni frozen packaging lazima iwe ya plastic.

Haya ni mambo ya kufanyia inquiry kwenye balozi
no need to ask from the embassy my sister, it only a matter of getting in touch with European Union commision on food importation , get the right way to do things from them and then bussiness is there, but is cassava grown in large scale in bongo pls, i have what is required for other food stuff, both frozen and value added but for cassava i have never asked,do u have any idea at what scale it is grown in tz,
 
We may be able to get some answers right here
 
Nenda mbezi mwisho kacheki watu wanavyomwaga mihogo kwa virikuu/canter afu fanya utaratibu na wewe peleka mzigo wako
 
Unakulaje loss ya vitunguu sasa nunua Nyanya katakata kachumbali mtafute huyu jamaa mwenye mihogo mchukue mkaange mle .
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kila siku nasikia mihogo ina soko kubwa china...inakuwaje?
Soko la China kwasasa lipo kinadharia sana, madalali wanapambana kulifikia na kwa dalili nionazo watalikamata soko, hapo wakulima tusitegemee saaana kama hilo soko litatutoa maanake si unawajua madalali waakibomgo?.
yote kwa yote soko la ndani la muhogo bado ni kubwa sana, ila sio utegemee kuuzia shambani msimu huu utaumiaa.
 
Saga kama Unga, utarudisha gharama na hata kupata faida, fanya fasta kabla haijaharibika mkuu..
 
Kuna mbegu ipo Songea inaitwa Muache atambae. Hii mbegu ni noma. Ukipanda karibu na nyumba utaona nyufa tuu. Ina mihogo mirefu hadi mita 50
Duuhh...!!! Mita50 ninazojua mimiii au kuna mita 50 zingine?
Reff: mita 50 ni urefu wa nusu ya uwanja wa mpira (ukianzia golini hadi katikati ya uwanja). Hizi sio mchezo jamani
Ama; kipa anaposimama golini, umbali kutoka kona ya kushoto kwake hadi yakulia ndio mita 50.
Najiuliza.
Kama mzizi utakua mrefu namna hiyo hivi mti wake wa kisamvu unakua ndo hivi hivi visamvu ninavyoviona Songea hii au visamvu vingine?
Au mimi ndo nipo songea nyingine, sio songea ya wangoni na wamatengo?
 
Unakulaje loss ya vitunguu sasa nunua Nyanya katakata kachumbali mtafute huyu jamaa mwenye mihogo mchukue mkaange mle .
Maana yule jamaa kunywa uji wa muhogo haunogi. Bora mihogo na kachumbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…