D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Mkuu Mimi naweza hata kukutukana kwa kukuita Mjinga yaani huwezi kuniambia mihogo haina soko labda kama unasubiri wanunuzi nyumbani kwako tena uko mlandizi,jirani kabisa na dar cha msingi nenda kwenye masoko mbalimbali utakutana na madalali wengi sana pia sijaona hata nyuzi ukitangaza unauza mihogo huo ni uzito wa maarifa