Nina mihogo tangu mwaka jana nimekosa soko, nawaza nisage kuwa unga ndio niuze

Mkuu Mimi naweza hata kukutukana kwa kukuita Mjinga yaani huwezi kuniambia mihogo haina soko labda kama unasubiri wanunuzi nyumbani kwako tena uko mlandizi,jirani kabisa na dar cha msingi nenda kwenye masoko mbalimbali utakutana na madalali wengi sana pia sijaona hata nyuzi ukitangaza unauza mihogo huo ni uzito wa maarifa
 
Bangi
Kuna mbegu ipo Songea inaitwa Muache atambae. Hii mbegu ni noma. Ukipanda karibu na nyumba utaona nyufa tuu. Ina mihogo mirefu hadi mita 50
Bangi hiz ni mbaya sana mita 50 ni nusu ya uwanja mpira kama ulikuwa hujui
 
Yeah hilo ndilo wazo zuri.....chukua hiyo mihogo changanya na mahindi na ngano, unga wake huwa ni mzuri sana na una virutubisho vingi sana......

Nitafute inbox nikupe utaratibu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…