nina mil 5 nahitaji vifaa vya muziki

nina mil 5 nahitaji vifaa vya muziki

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
599
nina bajeti ya mil 5 nahitaji vifaa vya muziki, kwenye spika ziwe sound systerm ya ukweli ambazo nitazitumia kwenye ukumbi mkubwa instruments.jpg
je kwa bajeti hii inatosheleza? na maduka hapa dar yako sehemu gani?
kama unafahamu tafadhari nijulishe au ni pm
 
Nenda CITY MUSIC SOUND mtaa wa Uhuru Kariakoo.
 
Back
Top Bottom