Nina mil 5 nataka nitoe Zote ama nikitoa nisikumbane na makato makubwa niweke bank au Airtel money?

Pote pana makato as long as umeamua kuweka akiba basi service charge lazima uwepo so its up to you kuamua ila bank makato makubwa kidogo tena kila mwezi inategemeana na aina ya akaunt unayoweka ila ukiweka fixed hautakatwa tena utakua na faida eatel money ni pazuri but sizani kama kun faida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa iyo mkuu niweke eatel money au kwa Ushauri wako

Kuna benki inaitwa Airtel Money? Jambo ambalo either watu hawajajua ni kwamba Hizi kampunibza simu hazifanyi saving.

Ile ni Chanel ya kutuma pesa na sio Saving. ni kosa kubwa sana kusave pesa kwenye M pesa au au sijui Tigo pesa.

Pesa zina hifadhiwa benki na ndi sheria zinasema.

Ndo maana watu wakipata matatizo au kufariki na peaa zao zinapotea kwa sababu inajulikana M mpesa haipo kwa ajili ya saving bali kupitisha pesa.

Ni sawa na Western Union tu au Money Gram

Hata ukifariki pesa zako zinaweza kupatika kwenye hii mitandao so ni wewe kuwaambia nduguzo una pesa airtel money

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
tofauti ya airtel money, mpesa.na Tigo pesa ni nini
 
Ki usalama ni bora zaidi kuweka hela yako Bank kuliko kwenye simu........Makato haya kwepeki Mkuu..........kama hutaki makato kabisa chongesha "Kibubu" ila ndo unakuwa kwenye risk zaidi.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Kawekeze mpower kule utapata faida na siku ukitaka kukopa utapa bonge la mkopo
 
Nenda bank kuna, aina za account ambazo sio fixed zinazotoa riba au gawio kwa hela zako, NMB wana bonus account ambayo unafungua na kianzio cha 50000, BARCLAY'S, KCB, EQUITY na DTB zipo hizo account. Na hazina makato yoyote yale ya mwezi wala ya mwaka. Unakuwa na ltd namba za kufanya drawings
 
Back
Top Bottom