Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naomba shule kuhusu hii fixed account mkuuNenda bank kuna, aina za account ambazo sio fixed zinazotoa riba au gawio kwa hela zako, NMB wana bonus account ambayo unafungua na kianzio cha 50000, BARCLAY'S, KCB, EQUITY na DTB zipo hizo account. Na hazina makato yoyote yale ya mwezi wala ya mwaka. Unakuwa na ltd namba za kufanya drawings
Sent using Jamii Forums mobile app