Nina mil 5 nataka nitoe Zote ama nikitoa nisikumbane na makato makubwa niweke bank au Airtel money?

Nina mil 5 nataka nitoe Zote ama nikitoa nisikumbane na makato makubwa niweke bank au Airtel money?

Nenda bank kuna, aina za account ambazo sio fixed zinazotoa riba au gawio kwa hela zako, NMB wana bonus account ambayo unafungua na kianzio cha 50000, BARCLAY'S, KCB, EQUITY na DTB zipo hizo account. Na hazina makato yoyote yale ya mwezi wala ya mwaka. Unakuwa na ltd namba za kufanya drawings
Naomba shule kuhusu hii fixed account mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba shule kuhusu hii fixed account mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio fixed account, wanaziita saving. Kila bank na utaratibu wake. Mfumo wao unafungua account unaweka fedha, fedha hizo unaweza kuzitoa wakati wowote ule unaotaka ilawao wanakuwa wameset idadi ya drawings unazoweza kufanya ili upewe gawio, mfano KCB, NMB, EQUITY. ni mara nne kwa mwaka, kadri fedha zinapokaa zaidi kunakuwa na bonus kwaasilimia kadhaa ya gawio utakalokuwa unapata. Na account hizo gawio hutolewa kila baada ya miezi minne. Tembelea bank husika ili kujua zaidi kuhusu hili
 
Weka airtel money Mkuu, huko bank utakatwa tu
 
Naomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeza katika cryptocurrency nunua bitcoin now na uzihold maana zinapanda thamani kilasiku
Screenshot_2017-08-05-13-01-36.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom