Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Kwa iyo mkuu niweke eatel money au kwa Ushauri wakoPote pana makato as long as umeamua kuweka akiba basi service charge lazima uwepo so its up to you kuamua ila bank makato makubwa kidogo tena kila mwezi inategemeana na aina ya akaunt unayoweka ila ukiweka fixed hautakatwa tena utakua na faida eatel money ni pazuri but sizani kama kun faida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hauna haraka nazo ziweke bank fixed account ila kama zina haraka nasi sema eatel money
Kuna benki inaitwa Airtel Money? Jambo ambalo either watu hawajajua ni kwamba Hizi kampunibza simu hazifanyi saving.
Hata ukifariki pesa zako zinaweza kupatika kwenye hii mitandao so ni wewe kuwaambia nduguzo una pesa airtel moneyKuna benki inaitwa Airtel Money? Jambo ambalo either watu hawajajua ni kwamba Hizi kampunibza simu hazifanyi saving.
Ile ni Chanel ya kutuma pesa na sio Saving. ni kosa kubwa sana kusave pesa kwenye M pesa au au sijui Tigo pesa.
Pesa zina hifadhiwa benki na ndi sheria zinasema.
Ndo maana watu wakipata matatizo au kufariki na peaa zao zinapotea kwa sababu inajulikana M mpesa haipo kwa ajili ya saving bali kupitisha pesa.
Ni sawa na Western Union tu au Money Gram
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahs utafufuka uwaeleze? au imekaanje hii? Nazungumzia vifo vya ghafla. Na elewa kama nilivyo sema pesa zinatunzwa benkiHata ukifariki pesa zako zinaweza kupatika kwenye hii mitandao so ni wewe kuwaambia nduguzo una pesa airtel money
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Unamshurije mtoa mada nduguHahahs utafufuka uwaeleze? au imekaanje hii? Nazungumzia vifo vya ghafla. Na elewa kama nilivyo sema pesa zinatunzwa benki
Sent using Jamii Forums mobile app
za nini kutoa acha pesa yako hiwe azina tu.piga kazi ijae zaidiNaomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
za nini kutoa acha pesa yako hiwe azina tu.piga kazi ijae zaidiNaomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma coment yangu ya mwanzo? ina jielezaUnamshurije mtoa mada ndugu
What goes around always comes around