Hi wanaJF , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na sina kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwez wa nne mwanzon. Naomben ushauri kati ya haya
1. Ninunue lain ya mpesa na tgo pesa na kwa biashara hyo ntafanyia hapa hapa kwenye kifrem changu
2.Ninunue bodaboda niwe dereva mwenyewe
3.Niingize laki tano kwenya frem niuze pombe kwa wingi yan duka na grossary, laki saba kamera ya biashara(passpot size n.k),laki tatu nianzishe mradi wa kuuza juice ambayo ntatengeneza mwenyewe(juice ya matunda) au ninunulie ps kwa ajil ya play station(GAMES). USHAURI JAMAN NDUGU ZANGU NAOMBA