Nina milion na laki tano, nifanye nini kati ya haya(ushauri)

dtv

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Hi wanaJF , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na sina kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwez wa nne mwanzon. Naomben ushauri kati ya haya
1. Ninunue lain ya mpesa na tgo pesa na kwa biashara hyo ntafanyia hapa hapa kwenye kifrem changu
2.Ninunue bodaboda niwe dereva mwenyewe
3.Niingize laki tano kwenya frem niuze pombe kwa wingi yan duka na grossary, laki saba kamera ya biashara(passpot size n.k),laki tatu nianzishe mradi wa kuuza juice ambayo ntatengeneza mwenyewe(juice ya matunda) au ninunulie ps kwa ajil ya play station(GAMES). USHAURI JAMAN NDUGU ZANGU NAOMBA
 
Mkuu fanya opportunity cost, ni biashara ipi kati ya hizo itakuingizia faida kuliko nyingine kwa kutumia nguvu kidogo..., Kumbuka kina biashara inategemea location na wateja wa eneo husika.

Kwa haraka hio mmpesa na tigopesa ita-complement duka lako yaani huitaji kubadilisha chochote bali kuongezea, Bodaboda itachukua muda wako ambao ungeweza kufanya mengine unless mengine yote ambayo ungefanya kuna mtu anafanya...., glossary ni biashara nyingine ambayo ukipata faida unaweza kuifungua separate (again location na wateja katika eneo matters) hizo Juice huitaji pesa nyingi kuanza na unaweza kuanza kuuzia dukani kwako.

Game station business ni biashara tofauti ambayo inategemea wateja na location sehemu ulipo (pia tegemea hasira za wazazi ambao watoto wao watakuwa wanatoroka shule kuja kucheza hapo); In short fanya opportunity cost na hasara na faida ya kila biashara then choose..., mwisho wa siku your location will determine what to do.
 
nimeipenda hii ua vry rght kabsa,kazi ni kwako mleta uzi!
 
nunua bodaboda piga mzigo weka malengo kuhifadhi kiasi fulani benk kila wiki then ndo uje uanzishe glocery jipe muda kukuza mtaji usitake faida ya haraka
 
maelezo aliyetoa KeyserSoze ni zaid ya ushauri yafanyie kazi.
kwa suala la bodaboda risk yake ni kubwa na itakula muda wako wote ila kama utaweza kupata mtu unayemwamin ingia nae mkataba then mpatie bodaboda apige mzigo..
suala la tigo pesa na mpessa pamoja na juice sio libaya..stick on location,location,location utafanikiwa
 
Mkuu fanya opportunity cost, ni biashara ipi kati ya hizo itakuingizia faida kuliko nyingine kwa kutumia nguvu kidogo..., Kumbuka kina biashara inategemea location na wateja wa eneo husika.

Kwa haraka hio mmpesa na tigopesa ita-complement duka lako yaani huitaji kubadilisha chochote bali kuongezea, Bodaboda itachukua muda wako ambao ungeweza kufanya mengine unless mengine yote ambayo ungefanya kuna mtu anafanya...., glossary ni biashara nyingine ambayo ukipata faida unaweza kuifungua separate (again location na wateja katika eneo matters) hizo Juice huitaji pesa nyingi kuanza na unaweza kuanza kuuzia dukani kwako.

Game station business ni biashara tofauti ambayo inategemea wateja na location sehemu ulipo (pia tegemea hasira za wazazi ambao watoto wao watakuwa wanatoroka shule kuja kucheza hapo); In short fanya opportunity cost na hasara na faida ya kila biashara then choose..., mwisho wa siku your location will determine what to do.

Mleta uzi unataka nini zaidi ya haya maelezo....changamkia fursa anza kazi mara moja big up KeyserSoze ushauri wako nimeupenda sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu fanya opportunity cost, ni biashara ipi kati ya hizo itakuingizia faida kuliko nyingine kwa kutumia nguvu kidogo..., Kumbuka kina biashara inategemea location na wateja wa eneo husika.

Kwa haraka hio mmpesa na tigopesa ita-complement duka lako yaani huitaji kubadilisha chochote bali kuongezea, Bodaboda itachukua muda wako ambao ungeweza kufanya mengine unless mengine yote ambayo ungefanya kuna mtu anafanya...., glossary ni biashara nyingine ambayo ukipata faida unaweza kuifungua separate (again location na wateja katika eneo matters) hizo Juice huitaji pesa nyingi kuanza na unaweza kuanza kuuzia dukani kwako.

Game station business ni biashara tofauti ambayo inategemea wateja na location sehemu ulipo (pia tegemea hasira za wazazi ambao watoto wao watakuwa wanatoroka shule kuja kucheza hapo); In short fanya opportunity cost na hasara na faida ya kila biashara then choose..., mwisho wa siku your location will determine what to do.

great!!
 
Uchambuzi mzuri sana huu. Endapo utaufuatilia utakusaidia. Hongera Mtoa mada
 
wewe jamaa una akili...thats all i can say...seriously hii sio akili ya
kawaida...great keep the same spirit..
 
Hi wanajf , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na cna kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwez wa nn mwanzon. naomben ushauri kati ya haya
1. ninunue lain ya mpesa na tgo pesa na kwa biashara hyo ntafanyia hapa hapa kwenye kifrem changu
2.ninunue bodaboda niwe dereva mwenyewe
3.niingize laki tano kwenya frem niuze pombe kwa wingi yan duka na grossary, laki saba kamera ya biashara(passpot size n.k),laki tatu nianzishe mradi wa kuuza juice ambayo ntatengeneza mwenyewe(juice ya matunda) au ninunulie ps kwa ajil ya play station(GAMES). USHAURI JAMAN NDUGU ZANGU NAOMBA

kwanza hongera kwa kujikwamua, na inaonkena una akili ya biashara, usiache kufanya biashara hata kama utapata kazi..binafsi nakuona una kipaji cha biashara zaidi kuliko kuajiriwa, na hapo ndio utakuwa milionea, sio huku maofisini, majungu mengi, hela zenyewe hamna, ilimradi kulipa bili tu...

binafsi nakushauri ufanye tigo pesa/mpesa pamoja na juisi, na baadae kamera mtaji ukikua...achana na mambo ya bodaboda mwishowe uvunjike miguu bure, mimi siyafagilii kabisa haya makitu hasa nikihofia ajali na usalama wake ni mdogo sana..ukiweza baadae ununue piki piki kwa ajili yako matumizi binafsi ikurahisihe biashara zako lkn usifanye boda boda..

achana na mambo ya kuuza pombe, fanya hizo biahara zingine zinazotumiwa na watu wote na utapata faida
 
Ushaur wa keysersoze ni mwisho wa yote jamaa nadhan n zaid ya mshauri,la muhimu ni kuwa unacapital mkononi fanya kazi
 
Back
Top Bottom