Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

Gabby msafi

Member
Joined
Apr 28, 2023
Posts
66
Reaction score
93
Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli?

Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
 
Mtafute jamaa mmoja humu Jana kapost wanauza simu vitochi.Yeye alisema laki Moja unapata simu tano ukiuza faida ni kama 50k.Wewe utaweka na vifaa vya simu na fundi.Baada ya hapo utanitumia na ya kutolea.Alisema wako Chamazi dar na delivery anafanya.
 
Asante kak Kwa ushauri 🙏
 
Mkuu hiyo amount ni ndogo sana at least anza na 3,000,000
 
Vitendea kazi..Unavyo!!
Laini.
Simu.
fremu au banda.

kwa kiasi cha pesa ulicho nacho, ungekua na vitendea kazi na mahitaji mengine ya msingi ungekua umekamilisha ungeweza kuanza na iko kiasi cha pesa.
 
Kwa PESA hiyo ni ndogo mtaji unatakiwa angalau 3milion
Pia zingatia na location
 
Anza na hiyohiyo tu mkuu, iyo kazi ina asili ya utapeli na changa la macho kwa wanaoanza kwaiyo hata ukipigwa tukio(siombei lkn ni tahadhari tu) hutapgwa parefu na utapata uzoefu.

Ukishakuwa konki utapambana mtaji uongezeke
 
Mtafute jamaa mmoja humu Jana kapost wanauza simu vitochi.Yeye alisema laki Moja unapata simu tano ukiuza faida ni kama 50k.Wewe utaweka na vifaa vya simu na fundi.Baada ya hapo utanitumia na ya kutolea.Alisema wako Chamazi dar na delivery anafanya.
hizo cm kama hutaki lawama muuzie asiyekujua!
 
Back
Top Bottom