Nina milioni 10 nahitaji kuagiza gari

Nina milioni 10 nahitaji kuagiza gari

mngomo

Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Naomba mwenye kujua ni gari gani kali yenye sifa hizi naweza pata kwa pesa hiyo?

1. Muonekano (iwe na mvuto kwa macho)
2. Economy (ulaji wa mafuta)
3. Space (iwe na nafasi)
4. Yakuendeshwa na kijana wa kileo
5. Upatikanaji wa spare.
 
Back
Top Bottom