Mkuu mimi nimewekeza kwenye mikopo. Nakopesha kwa riba ya 20% kwa wiki.Natumaini muko powa kabisa... nina milioni 10 hapa ambayo nimeikusanya kutoka katika biashara yangu ya Nafaka nafikiria kufungua tigopesa hapahapa kwenye duka la Nafaka... sasa ambao munaijua biashara hii kwa pesa hii nitapata faida bei gani kwa mwezi??? ni hayo tuu
nina sehem ya cashier hapa kwenye duka la mazao ndo nataka hapahapa niweke na tigo pesa yaani 2 in 1Wazo ni zuri na biashara pia ni nzuri, jambo la msingi tafuta mtu sahihi wa kusimamia hiyo biashara na jitaidi kuweka laini zote mana, kisha uje utupe mrejesho hapa baada ya miezi nane.
Naomba abc ya biashara ya nafaka mkuu.Dini yangu hairuhusu mambo ya Riba