Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 625
Natumaini muko powa kabisa... nina milioni 10 hapa ambayo nimeikusanya kutoka katika biashara yangu ya Nafaka nafikiria kufungua tigopesa hapahapa kwenye duka la Nafaka... sasa ambao munaijua biashara hii kwa pesa hii nitapata faida bei gani kwa mwezi??? ni hayo tuu