Nina milioni 10, naweza kuanzisha biashara gani?

kaasim

Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
8
Reaction score
2
mie nna kiuwezo cha shiling milion 10 mwanishauri nianze biashara gani?
 
naomba munisaidie mawazo wakubwa ili nami nitoke kimaisha
 
asante bro kwa wazo lako zuri.naomba na wengine watoe mawazo yao.
 
Kule karatu nasikia wanabadilishana gunia la mahindi kwa mbuzi 4,
changamkia fursa
 
Endelea kuwashauri juu ya usalama barabarani.
 
nipo tayari mkuu naomba namba yako simu tuwasiliane private.
 
nipo tayari kaka nipe namba yako nikutafute
 
Pokea mawazoyawatu nauchanganye nayakwako iliupate jibu usiyakubali kilamawazo
 
Njoo na tano tuwe partner kwenye kufuga samaki.Nina mabwawa tayari.maji yapo.kila kitu kipo isipokua mbegu haijatosha.nipo BAGAMOYO.samaki kuvuna mienzi 6 .ukitak Maelezo zaidi karibu pm
 
nipo tayari mkuu naomba namba yako simu tuwasiliane private.

nipo tayari kaka nipe namba yako nikutafute
Mkuu siku nyingine ukiwa unamjibu mtu na ukitaka aione reply yako, uwe unafanya kum-quote.

Nimechelewa kuona reply zako sababu sikupata notification.

Anyway karibu sana.
utaanza na:

kilomo cha vitunguu maji
Then baada ya muda na mtaji kuwa umeongezeka, unaongeza na cha nanasi.

Karibu sana
 
Macho yako na ubongo vitumie viziri humu..
 
thread za kiume kama hizi nazikubali.sana mwezi.wa.tano.nami nategemea milion15 najifunza vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…