Nina milioni 10, naweza kuanzisha biashara gani?

Aisee mkuu kwa mtaji wa 10 mim ntakushaur ufanye biashara ya mazao kwa kununua mchele kwa kununua tandika/tandale kama upo dar au ukawa Unanunua ule wa chimala mbeya then unaleta dar ,maharage na uwe unauza tafuta sehemu yenye watu wengi fungua hapo hiyo biashara unaweka 5million tu na unaweza kuwa tajiri mzur tu .

Ila ni vyema uwe na busara na usiwe na pupa hasa kuanzisha miradi usiyoelewa na ukiona bado hujapata mradi mzur hizo pesa bora uweke tu kwanza fixed account bank kwa muda utakaopewa na watu wa bank afu hiyo miez utumie kufanya utafit mzur wa biashara au mradi mzur kwa uhakika.

Humu utapata mawazo mazur ila pia kuwa makin na watakao jifanya washauri huwa wengine ni matapelk
 
asante kaka
 
..vitu kama Ivi vinahiyaji uhusika wa moja kwa moja,angalia Opportunities znazokuzunguka hapo ulipo then utelize them to the fullest
 
Back
Top Bottom