PALE HAWATOI MTAJI ILA WAO WANAKUUNGANISHA NA WAWEKEZAJI, AMBAO WATAKUWA WANAINGIA TANZANIA KWA NIA YA KUTAKA KUWEKEZA KWENYE MIRADI MBALIMBALI, KWAHIYO WEWE UKISHAKUWA NA MRADI/ BUSINESS /UWEKEZAJI ULIOSAJILIWA KISHERIA NDIO UNAENDA TIC. NA WAKIFIKA WAWEKEZAJI KAMA WATAKUWA INTERESTED NA MRAJI WAKO KUUNGANA NAWE, NDIPO TIC WANAKUITA ILI MUELEWANE NAO KUHUSU USIMAMIZI NA JINSI MTAKAVYOSHRE FAIDA.Kiwango cha capital kwa mtanzania hadi wakukubali kukusikiliza tshs ngapi pale TIC? Coz mimi nina ka project ka dollar elfu 30 to 35
Mbaya kweli wewe...Pesa huongea, endelea kuwa nazo zitakupa mwongozo
Mpenzi wangu, nimekosa nini tena?[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mbaya kweli wewe...
Huo ushauri kwa mdau sio kabisaMpenzi wangu, nimekosa nini tena?[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hana hela halafu anataka ushauri!!!Huo ushauri kwa mdau sio kabisa
Idd imeendaje my love[emoji8]Huo ushauri kwa mdau sio kabisa
Si amesema ana 10ml jamani? Au kwako wewe hiyo ni ya kashata na gahawa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hana hela halafu anataka ushauri!!!
Iko poa kakaakeIdd imeendaje my love[emoji8]
Nafurahi kusikiaIko poa kakaake
Aende kariakoo akafanye utafiti kama sio tandale au mwaloni mwanza kama anazo kweli.Si amesema ana 10ml jamani? Au kwako wewe hiyo ni ya kashata na gahawa?
Kwani rais ndio ana control akili za watu??? BTW mi naona hao..akiwemo huyo rais wako ndio wamesababisha yote hayaJPM ana kazi kubwa bado kuteketeza akili za namna hii.
Haya baeAende kariakoo akafanye utafiti kama sio tandale au mwaloni mwanza kama anazo kweli.
Idea ya kupewa huwezi kufanikiwa
[emoji120]Haya bae
Mmhhh...duh sawaMm Nina kiwanda changu cha ninatafuta mwekezaji million 10-20 ambapo unapata faida sh ml2-3 kwa mwezi unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia 0675226757
Ok nimekuelewa lakini nilikuwa nataka kujua kwa wazawa hamna incentives zozote kama utakuwa na capitalPALE HAWATOI MTAJI ILA WAO WANAKUUNGANISHA NA WAWEKEZAJI, AMBAO WATAKUWA WANAINGIA TANZANIA KWA NIA YA KUTAKA KUWEKEZA KWENYE MIRADI MBALIMBALI, KWAHIYO WEWE UKISHAKUWA NA MRADI/ BUSINESS /UWEKEZAJI ULIOSAJILIWA KISHERIA NDIO UNAENDA TIC. NA WAKIFIKA WAWEKEZAJI KAMA WATAKUWA INTERESTED NA MRAJI WAKO KUUNGANA NAWE, NDIPO TIC WANAKUITA ILI MUELEWANE NAO KUHUSU USIMAMIZI NA JINSI MTAKAVYOSHRE FAIDA.
Aende kilindiKanunue mashamba na panda miti aina ya Pines au milingotina baada ya muda wa miaka fulani utakuwa milionea, kwa maelezo zaidi juu ya mashamba ya miti na utaalamu wa kuandaa mpaka kupanda weza ni PM