Nina milioni 10, nifanye biashara gani nzuri?

Nina milioni 10, nifanye biashara gani nzuri?

Kiwango cha capital kwa mtanzania hadi wakukubali kukusikiliza tshs ngapi pale TIC? Coz mimi nina ka project ka dollar elfu 30 to 35
PALE HAWATOI MTAJI ILA WAO WANAKUUNGANISHA NA WAWEKEZAJI, AMBAO WATAKUWA WANAINGIA TANZANIA KWA NIA YA KUTAKA KUWEKEZA KWENYE MIRADI MBALIMBALI, KWAHIYO WEWE UKISHAKUWA NA MRADI/ BUSINESS /UWEKEZAJI ULIOSAJILIWA KISHERIA NDIO UNAENDA TIC. NA WAKIFIKA WAWEKEZAJI KAMA WATAKUWA INTERESTED NA MRAJI WAKO KUUNGANA NAWE, NDIPO TIC WANAKUITA ILI MUELEWANE NAO KUHUSU USIMAMIZI NA JINSI MTAKAVYOSHRE FAIDA.
 
njoo nikufundishe cha kufanya, robo tu ya pesa yako unaiwekeza mahali hautoamini
 
Wasiliana na nimefunguaa chuo...na.kinaendelea ila.natafuta partner mwingine tuexpand branch zaidi nje ya dar....0714777211.
 
PALE HAWATOI MTAJI ILA WAO WANAKUUNGANISHA NA WAWEKEZAJI, AMBAO WATAKUWA WANAINGIA TANZANIA KWA NIA YA KUTAKA KUWEKEZA KWENYE MIRADI MBALIMBALI, KWAHIYO WEWE UKISHAKUWA NA MRADI/ BUSINESS /UWEKEZAJI ULIOSAJILIWA KISHERIA NDIO UNAENDA TIC. NA WAKIFIKA WAWEKEZAJI KAMA WATAKUWA INTERESTED NA MRAJI WAKO KUUNGANA NAWE, NDIPO TIC WANAKUITA ILI MUELEWANE NAO KUHUSU USIMAMIZI NA JINSI MTAKAVYOSHRE FAIDA.
Ok nimekuelewa lakini nilikuwa nataka kujua kwa wazawa hamna incentives zozote kama utakuwa na capital
 
Kanunue mashamba na panda miti aina ya Pines au milingotina baada ya muda wa miaka fulani utakuwa milionea, kwa maelezo zaidi juu ya mashamba ya miti na utaalamu wa kuandaa mpaka kupanda weza ni PM
Aende kilindi
 
Mrejesho

Wana jf asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa kutafuta mwekezaji wa kiwandani kwangu. nimeshapata partner mwenzangu wa kushirikiana nae kwahio mjadala wa hio partnership umefungwa.Ahsanteni sana
 
Nunua mizinga ya kisasa weka shambani, baada ya miezi 6 utaanza kula faida yake.
 
Back
Top Bottom